Search

88 results for Edo Kumwembe :

  1. PRIME Aziz Ki alivyomtia aibu Motsepe Loftus

    Achana na Cairo. Tuanzie Loftus, uwanja ambao Julai 2009 nilikuwa kwenye moja kati ya viti vyake nikitazama pambano la michuano ya mabara kati ya Brazil na Italia. Lilikuwa pambano la kuvutia...

    New Content Item (1)
  2. Wanamichezo wamlilia Mwinyi

    Wanamichezo kote nchini wameonyesha masikitiko yao baada ya kutangazwa kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili, Ally Hassan Mwinyi.

  3. PRIME JICHO LA MWEWE: Kwa Chama maandiko yametimia

    Niliandika hapa wiki mbili zilizopita namna ambavyo uhusiano wa Clatous Chama na Simba unavyokaribia kukata roho. Hata ilipotangazwa wiki iliyopita kwamba Simba wamemsimamisha Chama sikushangazwa.

  4. PRIME HISIA ZANGU: Uhodari wa Lakred umeleta tatizo la msingi Msimbazi

    Langoni Ayoub ni imara katika kucheza michomo ya wapinzani. Anajua kujipanga vema lakini pia ni mzuri miguuni kama inavyotakiwa kwa makipa wengi wa kisasa. Haya yote yamekuja kuleta shida ya...

  5. JICHO LA MWEWE: Labda huyu ndiye Aziz Ki waliyemtaka Yanga

    TUENDELEE kusubiri kwanza. Msimu bado mrefu lakini labda huyu ndiye Aziz KI waliyemtaka Yanga. Aziz KI wa msimu huu na sio yule wa msimu uliopita ambaye alikuwa bingwa wa matukio. Alikuwa...

  6. Tumuombee Pogba yupo katika miaka ya tabu

    MWAKA wa tabu. Aliwahi kuimba rafiki yangu Ally Choki. Moja kati ya nyimbo bora ambazo zinaashiria matatizo ya mfululizo kwa mwanadamu. Wakati mwingine ni kama filamu ya kutungwa. Wakati mwingine...

  7. JICHO LA MWEWE: Machozi ya Nabi katika mwisho wa kiume wa Yanga Algeria

    Mwishoni kabisa tulimwona Kocha Nasreddine Nabi akitoa machozi. Ni nadra kwa mwanamume kulia. Tunaambiwa tulie kwa ajili ya kuipa mioyo yetu nafuu lakini hatufanyi hivyo. Nabi alilazimika kufanya...

  8. JICHO LA MWEWE: Fei Toto alivyotua CAS kwa kasi isiyohitajika

    INACHOSHA lakini ndio hali halisi. Tunalazimika kumzungumzia Fei Toto, ingawa jana kulikuwa na mechi kubwa zaidi katika historia ya Tanzania iliyotazamiwa kucheza. Siwezi kumlaumu Fei. Haikuanzia...

  9. NYUMA YA PAZIA: Unamkumbuka James Rodriguez? Yuko hoi

    UNAPOJIKUMBUSHA kwamba Lionel Messi ana miaka 35. Unapojikumbusha kwamba Thiago Silva ana miaka 37. Unapojikumbusha kwamba Luka Modric ana miaka 37. Unapojikumbusha kwamba Cristiano Ronaldo ana...

  10. JICHO LA MWEWE: Kwa Fei Toto wa Stars wote tumevuna tulichopanda

    MECHI mbili zilizopita za Taifa Stars, Feisal Salum ‘Fei Toto’ alianzia benchi. Ilianzia pale Ismailia, Misri na Stars ilishinda na ikajirudia hapa Dar es Salaam, Stars iliondoka kichwa chini.

Page 1 of 9

Next